Maisha ya Gadi Sedekia

Slide
Maisha ya kutegemea mashine kuchuja sumu mwilini inanipa kuishi ila mchakato huu unaumiza.

Wasamaria wema wenye huruma, utu na upendo, hapo watanielewa. Si vyepesi kufuata ratiba ya kufanya dialisis, unapochelewa kuingia kwenye mashine,sumuile itasumbua, unshindwa kupumua mumivu yanakuwa makali sana, na ni hatari kwa jkjwa unaweza kupoteza maisha kama kama hakuna mtu karibu wa kukusaidia.

Gadi ni mdogo wake Fanuel Sedekia, aliyekuwa nguli wa mziki wa nyimbo za injili (alifariki mwaka 2009). Gadi pia ni mwanamziki wa nyimbo za injili. Hebu tuangalie kidogo kazi zake za mziki na huduma;

Gadi ni mdogo wake Fanuel Sedekia, aliyekuwa nguli wa mziki wa nyimbo za injili (alifariki mwaka 2009). Gadi pia ni Gadi ni kijana mdogo, ana umri mdogo na bado ana ndoto nyingi sana. Kwa sasa ana matumaini makubwa ya kutimiza ndoto zake hasa zinazohusiana na kusaidia jamii. Anahisi kuwa bado kuna mambo makubwa au ndoto kubwa ya mambo ya kutimiza katika jamii na dunia kwa ujumla. Hebu tuangalie kidogo kazi zake za mziki wa injili na huduma za jamii ambazo ni sehemu ya ndoto zake;mwanamziki wa nyimbo za injili. Hebu tuangalie kidogo kazi zake za mziki na huduma;

Mziki na Huduma za Injili

Katika huduma za kanisani, Gadi amrekodi nyimbo mbali mbali ambazo zinagusa jamii ya watu wa dini na madhehebu mbali mbali. Cheza video hapo juu juone mwenyewe.

Mtaalam wa Maabara Hospitalini

Hii ni kazi ya utaalam wa maabara hospitalini ambayo Gadi ni mtaalam na aliisomea.

Ubunifu wa Kusaidia Jamii

Anajihusisha na jamii katika kuwatia moyo na kuwahimiza kujiamini, kufanya kazi kwa bidii. Gadi haamini katika kushindwa, anaamini kuwa bado kesho iko mkononi mwake. Hii ndiyo imani inayompa kuishi bila hofu ya kushindwa.

Mchango wako wa matibabu ni muhimu kwa sababu gharama za matibabu ni kubwa na siwezi kuzifikia kwa urahisi peke yangu.

Hapa kuna sababu kuu kwa nini mchango wako wa matibabu ni wa maana sana kwangu:

 Kuokoa maisha:

Upandikizaji wa figo mara nyingi ni suluhisho pekee kwa wagonjwa wenye figo kushindwa kufanya kazi. Bila msaada huu, wagonjwa wengi hutegemea dialysis maisha yote, ambayo ni ngumu na yenye gharama kubwa. 

Kupunguza mateso:

Dialysis inachosha mwili na akili. Figo jipya linaweza kumruhusu mgonjwa kuishi maisha yenye afya na uhuru zaidi. 

Gharama kubwa: 

 Upandikizaji wa figo ni mchakato wa kitabibu unaohitaji vifaa, madaktari bingwa, dawa za kupunguza kinga, na ufuatiliaji wa muda mrefu. Michango husaidia kufidia gharama hizi ambazo mara nyingi mgonjwa peke yake hawezi kumudu.  

Ni Mtu akipata figo jipya na kupona, anaweza kurudi kazini, kusaidia familia yake, na kuchangia maendeleo ya jamii.  

Ubinadamu na mshikamano:

Kuchangia ni tendo la huruma na mshikamano wa kijamii. Ni njia ya kuonyesha upendo na mshikamanio kwa wale wanaopitia changamoto kubwa kiafya.  s

Maisha Mapya na Matumaini Mapya.  

Kwa kifupi, kuchangia fedha ya kupandikiza figo ni kuchangia maisha mapya na matumaini mapya.  

 Kupunguza mzigo wa kifamilia:

Familia hupata nafuu kwa sababu mgonjwa anakuwa na afya bora na si tegemezi sana.  

Pia atapona, na kurudi kazini, kusaidia familia yake, na kuchangia maendeleo ya jamii.  

Gadi Sedekia ni nani?

Gadi ni mdogo wake Fanuel Sedekia, aliyekuwa nguli wa mziki wa nyimbo za injili (alifariki mwaka 2009). Gadi pia ni mwanamziki wa nyimbo za injili. Hebu tuangalie kidogo kazi zake za mziki na huduma;

Gadi Sedekia anasema, chochote utakachonichangia, hata kama ni kidogo, nitashukuru.

Gadi anasema, ‘kutoa ni moyo, umetoa mahali ulipotumia nguvu yako ya kufanya kazi, wala si mimi niliyefanya kazi, wala sijakufanyia kazi yoyote inayokupasa wewe unilipe chochote. Kwa hiyo, mwenyezi Mungu akubariki’.