Historia ya Ugonjwa
Sukari ilianza kunisumbua nikiwa na miaka 19. Nilipambana na kumudu kuishi kwa uzoefu na kuwasaidia wengine waliokata tamaa hasa waliosumbuliwa na ugonjwa wa Sukari.
Sukari (Diabetic)
Alianza kuwa na dalili za kudhoofika afya. Alipopima akagundulika kuwa amepata Kisukari.
Shinikizo la Damu (Pressure)
Baada ya changamotokadha a kadha, alianza kuhisi kuchoka kwa namna ambayo hakuizoea. Alipopima Hospitali akagundulika ana shinikizo la Damu aani Presha
Akaanza kutumia dawa
Daktari alipoona hali yake inazidi kuwa mbaya alimwanzishia dawa. Pia alipewa ushauri wa kuishimaisha menine mapya ya kupambana na magonjwa mawili, Sukari na Presha.
Dialysisi inaanza
Hali ilizidi kuwa mbaya, na akazidiwa zaidi. Akaanza kufanyiwa Dialysis. Mount Meru Hospital, Arusha.
Maisha ya Dialysisi yakaendelea
Akafanyiwa upasuaji mdogo wa kupandikiza king’amuzi ch kusaidia kufanya Dialysis.
Maisha ya Dialysisi yakaendelea
Maendeleo yake yakazidi kuwa mabbaya hadi kufanya Dialysis Mara TATU kwa wiki
Mpango wa kupandikizwa Figo
Gadi aliwasiliana na Familia hadi kuamua kutafuta msamalia wa kumsaidia Figomoja, wakapatikana na kwa sasa tunahitaji Mchngo ili kukabiliana na gharama za matibabu
Ugonjwa ulianza akiwa kidato Cha Sita akikaribia kumaliza. Aliendelea na maisha ya shule akiwa na Sukari. Na sasa anapambana na Dialysis. Anaomba mchango wako ili kupandikiza Figo.
Explore the episodes
Podcast
Garama za Matibabu
Ni kwa Tanzania au nchi za nje kama India
Tanzania
Milioni 50
- Vipimo
- Malazi
- Kitanda kwa mgonjwa na donor
- Safari
- Mengineyo
India
Zaidi ya Milioni 50
- Vipimo
- Malazi
- Kitanda kwa mgonjwa na donor
- Safari
- Mengineyo



