KUUGUA

Slide
Mpendwa, naomba mchango wa matibabu ili kupandikiza Figo. Dialisis inaumiza na ninachoka, Mara 3 kila wiki

Ukinichangia fedha ya kupandikiza figo, umechangia maisha yaangu mapya na matumaini yangu mapya. Nitaishi kwa uhuru na furaha.

Shadow

Sukari ilianza kunisumbua nikiwa na miaka 19. Nilipambana na kumudu kuishi kwa uzoefu na kuwasaidia wengine waliokata tamaa hasa waliosumbuliwa na ugonjwa wa Sukari.

January 1, 2009

Sukari (Diabetic)

Alianza kuwa na dalili za kudhoofika afya. Alipopima akagundulika kuwa amepata Kisukari.

January 1, 2009
January 1, 2023

Shinikizo la Damu (Pressure)

Baada ya changamotokadha a kadha, alianza kuhisi kuchoka kwa namna ambayo hakuizoea. Alipopima Hospitali akagundulika ana shinikizo la Damu aani Presha

January 1, 2023
January 1, 2023

Akaanza kutumia dawa

Daktari alipoona hali yake inazidi kuwa mbaya alimwanzishia dawa. Pia alipewa ushauri wa kuishimaisha menine mapya ya kupambana na magonjwa mawili, Sukari na Presha.

January 1, 2023
January 1, 2024

Dialysisi inaanza

Hali ilizidi kuwa mbaya, na akazidiwa zaidi. Akaanza kufanyiwa Dialysis. Mount Meru Hospital, Arusha.

January 1, 2024
January 1, 2024

Maisha ya Dialysisi yakaendelea

Akafanyiwa upasuaji mdogo wa kupandikiza king’amuzi ch kusaidia kufanya Dialysis.

January 1, 2024
January 1, 2025

Maisha ya Dialysisi yakaendelea

Maendeleo yake yakazidi kuwa mabbaya hadi kufanya Dialysis Mara TATU kwa wiki

January 1, 2025
January 1, 2026

Mpango wa kupandikizwa Figo

Gadi aliwasiliana na Familia hadi kuamua kutafuta msamalia wa kumsaidia Figomoja, wakapatikana na kwa sasa tunahitaji Mchngo ili kukabiliana na gharama za matibabu

January 1, 2026

Ugonjwa ulianza akiwa kidato Cha Sita akikaribia kumaliza. Aliendelea na maisha ya shule akiwa na Sukari. Na sasa anapambana na Dialysis. Anaomba mchango wako ili kupandikiza Figo.

Explore the episodes

Podcast

Garama za Matibabu

Ni kwa Tanzania au nchi za nje kama India

Tanzania

Milioni 50

  • Vipimo
  • Malazi
  • Kitanda kwa mgonjwa na donor
  • Safari
  • Mengineyo

India

Zaidi ya Milioni 50

  • Vipimo
  • Malazi
  • Kitanda kwa mgonjwa na donor
  • Safari
  • Mengineyo